1 Samueli 8:8
1 Samueli 8:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Tangu nilipowatoa Misri, wameniacha mimi, wamekuwa wakiitumikia miungu mingine mpaka leo. Sasa hayo matendo ambayo wamekuwa wakinitendea mimi, ndiyo wanayokutendea na wewe.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 81 Samueli 8:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kadiri ya matendo yote waliyonitenda tokea siku ile nilipowatoa katika Misri hata leo, kwa kuniacha mimi, na kwa kutumikia miungu mingine, ndivyo wanavyokutenda wewe.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 8