1 Samueli 8:7
1 Samueli 8:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Sikiliza kila kitu ambacho watu wanakuambia; maana hawajakukataa wewe, bali wamenikataa mimi kuwa mfalme juu yao.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 81 Samueli 8:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Samweli, Isikilize sauti ya watu hawa katika kila neno watakalokuambia; kwa maana hawakukukataa wewe, bali wamenikataa mimi, ili nisiwe mfalme juu yao.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 8