1
1 Wakorintho 5:11
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini sasa nawaandikia kwamba msishirikiane na mtu yeyote anayejiita ndugu, hali akiwa ni mzinzi, au mwenye tamaa mbaya, mwabudu sanamu au msingiziaji, mlevi au mdhalimu. Mtu kama huyo hata msile naye.
Linganisha
Chunguza 1 Wakorintho 5:11
2
1 Wakorintho 5:7
Ondoeni chachu ya kale ili mpate kuwa donge jipya lisilotiwa chachu, kama vile mlivyo. Kwa maana Al-Masihi, Mwana-Kondoo wetu wa Pasaka amekwisha tolewa kuwa dhabihu.
Chunguza 1 Wakorintho 5:7
3
1 Wakorintho 5:12-13
Yanihusu nini kuwahukumu wale watu walio nje ya kundi la waumini? Je, si mnapaswa kuwahukumu hao walio ndani? Mungu atawahukumu hao walio nje. “Ninyi mwondoeni huyo mtu mwovu miongoni mwenu.”
Chunguza 1 Wakorintho 5:12-13
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video