1 Mose 6:1-4

1 Mose 6:1-4 SRB37

Watu walipoanza kuwa wengi katika nchi, nao wna wa kike walipozaliwa kwao, nao wana wa Mungu walipowaona wana wa kike wa watu kuwa wazuri, wakajichukulia wake kwao wote, waliowachagua. Ndipo, Bwana aliposema: Roho yangu haiwezi kubishana na watu kale na kale, kwani kwa hivyo, walivyopotea, mioyo yao imegeuka kuwa nyama tupu. Basi, siku zao na ziwe bado miaka 120. Siku zile walikuwako katika nchi nao watu walio majitu; hata baadaye siku zote wana wa Mungu walipoingia kwao wana wa kike na watu, nao waliwazalia wana; hawa ndio wale wenye nguvu waliojipatia jina kuu tangu kale.

Читать 1 Mose 6