1
Mwanzo 18:14
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Je, kuna jambo lolote gumu lisilowezekana kwa Mwenyezi Mungu? Nitakurudia majira kama haya mwaka ujao, naye Sara atakuwa na mwana.”
Mampitaha
Mikaroka Mwanzo 18:14
2
Mwanzo 18:12
Hivyo Sara akacheka kimoyomoyo alipokuwa akiwaza, “Baada ya mimi kuwa mkongwe hivi na bwana wangu amezeeka, je, nitaweza kufurahia jambo hili?”
Mikaroka Mwanzo 18:12
3
Mwanzo 18:18
Hakika Ibrahimu atakuwa taifa kubwa na lenye nguvu, na kupitia kwake mataifa yote ya dunia yatabarikiwa.
Mikaroka Mwanzo 18:18
4
Mwanzo 18:23-24
Ibrahimu akamsogelea, akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu? Je, ikiwa watakuwepo watu hamsini wenye haki katika mji huo, kweli utauangamiza na wala hutauacha kwa ajili ya hao watu hamsini wenye haki waliomo?
Mikaroka Mwanzo 18:23-24
5
Mwanzo 18:26
Mwenyezi Mungu akajibu, “Nikipata watu hamsini wenye haki katika mji wa Sodoma, nitauacha huo mji wote kwa ajili yao.”
Mikaroka Mwanzo 18:26
Fidirana
Baiboly
Planina
Horonan-tsary