1
Yohana 13:34-35
Swahili Roehl Bible 1937
Nawapa agizo jipya: Mpendane! Kama nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo! Kwa hiyo wote watatambua, ya kama m wanafunzi wangu mimi, mtakapopendana ninyi kwa ninyi.*
Compare
Yohana 13:34-35 ખોજ કરો
2
Yohana 13:14-15
Basi, mimi niliye Bwana na Mfunzi wenu nikiwaosha ninyi miguu, imewapasa nanyi kuoshana miguu. Kwani nimewapani la kujifunziamo, mfanyiane ninyi kwa ninyi, kama nilivyowafanyia mimi.*
Yohana 13:14-15 ખોજ કરો
3
Yohana 13:7
Yesu akajibu, akamwambia: Ninachokifanya mimi, wewe hukijui sasa, lakini utakitambua halafu.
Yohana 13:7 ખોજ કરો
4
Yohana 13:16
Kweli kweli nawaambiani: Mtumwa si mkubwa kuliko bwana wake, wala mjumbe si mkubwa kuliko yule aliyemtuma.
Yohana 13:16 ખોજ કરો
5
Yohana 13:17
Mkiyajua haya m wenye shangwe mkiyafanya.
Yohana 13:17 ખોજ કરો
6
Yohana 13:4-5
akainuka penye chakula, akaivua kanzu yake, akatwaa kitambaa cha ukonge, akajifunga kiunoni. Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwaosha wanafunzi miguu na kuisugua kwa kile kitambaa, alichojifunga kiunoni.
Yohana 13:4-5 ખોજ કરો
હોમ
બાઇબલ
યોજનાઓ
વિડિઓઝ