BibleProject | Agano Jipya, Hekima MpyaMuestra
Acerca de este Plan
Katika mpango huu wa siku sabini, utakutana na maudhui ya agano jipya na hekima mpya kwa ajili ya maisha ya waaminio katika Agano hili. Waebrania inamlinganisha na kumtofautisha Yesu na wahusika wakuu kutoka Agano la Kale. Ikionyesha jinsi Yesu alivyo mkuu na kuwa yeye ndiye udhihirisho mkuu wa upendo na rehema za Mungu. Kitabu cha Yakobo ni cha kipekee katika Agano Jipya, kimejaa misemo ya hekima, kama kitabu cha Mithali.
More