Mwanzo 13:14

Mwanzo 13:14 BHND

Baada ya Loti kujitenga na Abramu, Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Angalia toka hapo ulipo utazame pande zote: Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi.

Video vir Mwanzo 13:14