Mwanzo 15:1

Mwanzo 15:1 SCLDC10

Baada ya mambo hayo, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Abramu katika maono, “Abramu! Usiogope! Mimi ni ngao yako. Tuzo lako litakuwa kubwa!”

Video vir Mwanzo 15:1