1
Luka 12:40
Biblia Habari Njema
Nanyi, kadhalika muwe tayari, maana Mwana wa Mtu atakuja saa msiyoitazamia.”
Vergelyk
Verken Luka 12:40
2
Luka 12:31
Shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu, na hayo mtapewa kwa ziada.
Verken Luka 12:31
3
Luka 12:15
Basi, akawaambia wote, “Jihadharini na kila aina ya tamaa; maana uhai wa mtu hautegemei wingi wa vitu alivyo navyo.”
Verken Luka 12:15
4
Luka 12:34
Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
Verken Luka 12:34
5
Luka 12:25
Ni nani kati yenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuongeza kidogo urefu wa maisha yake?
Verken Luka 12:25
6
Luka 12:22
Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kwa sababu hiyo nawaambieni, msiwe na wasiwasi juu ya chakula mnachohitaji ili kuishi, wala juu ya mavazi mnayohitaji kwa ajili ya miili yenu.
Verken Luka 12:22
7
Luka 12:7
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi!
Verken Luka 12:7
8
Luka 12:32
“Msiogope, enyi kundi dogo! Maana Baba yenu amependa kuwapeni ufalme.
Verken Luka 12:32
9
Luka 12:24
Chukueni kwa mfano, kunguru: Hawapandi, hawavuni wala hawana ghala yoyote. Hata hivyo, Mungu huwalisha. Nyinyi mna thamani zaidi kuliko ndege!
Verken Luka 12:24
10
Luka 12:29
“Basi, msivurugike akili, mkihangaika juu ya mtakachokula au mtakachokunywa.
Verken Luka 12:29
11
Luka 12:28
Ikiwa basi, Mungu hulivika hivyo jani la shambani ambalo leo liko na kesho latupwa motoni, je, si atawafanyia nyinyi zaidi? Enyi watu wenye imani haba!
Verken Luka 12:28
12
Luka 12:2
Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kila kilichofichika kitafichuliwa.
Verken Luka 12:2
Tuisblad
Bybel
Leesplanne
Video's