1
Mattayo MT. 13:23
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Nae aliyepandwa penye udongo mwema, huyu ndive alisikiae lile neno, na kulifahamu; yeye ndiye azaae matunda, huyu mia, na huyu sittini, na huyu thelathini.
موازنہ
تلاش Mattayo MT. 13:23
2
Mattayo MT. 13:22
Nae aliyepandwa penye miiba, huyu ndiye alisikiae lile neno; na shughuli za dunia, na udanganyifu wa mali hulisonga lile neno, likawa halizai.
تلاش Mattayo MT. 13:22
3
Mattayo MT. 13:19
Killa alisikiae neno la ufalme asifahamu, huja yule mwovu, akaliteka lililopandwa moyoni mwake. Huyu ndiye aliyepandwa njiani.
تلاش Mattayo MT. 13:19
4
Mattayo MT. 13:20-21
Nae aliyepandwa penye miamba, huyu ndiye alisikiae lile neno, akalipokea marra kwa furaha; lakini hana mizizi udani yake, hukaa muda mchache; ikitukia shidda au udhia kwa sababu ya lile neno, marra huchukizwa.
تلاش Mattayo MT. 13:20-21
5
Mattayo MT. 13:44
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyostirika katika shamba; mtu akaiona, akaificha; na kwa furaha yake akaenda akanza alivyo navyo vyote, akalinunua shamba lile.
تلاش Mattayo MT. 13:44
6
Mattayo MT. 13:8
nyingine zikaanguka penye udongo mwema, zikazaa, hizi mia, hizi sittini, hizi thelathini.
تلاش Mattayo MT. 13:8
7
Mattayo MT. 13:30
Viacheni vyote vikue hatta wakati wa mavuno: na wakati wa mavuno nitawaambia wavimao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita, mkayachome; bali nganu ikusauyeni ghalani mwangu.
تلاش Mattayo MT. 13:30
صفحہ اول
بائبل
مطالعاتی منصوبہ
Videos