1
Mattayo MT. 12:36-37
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Bassi, nawaambieni, Killa neno lisilo maana, watakalolisema wana Adamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu. Maana kwa maneno yako utapewa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.
موازنہ
تلاش Mattayo MT. 12:36-37
2
Mattayo MT. 12:34
Uzao wa nyoka, mwawezaje kusema mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.
تلاش Mattayo MT. 12:34
3
Mattayo MT. 12:35
Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa mema: na mtu mbaya katika hazina yake mbaya hutoa mabaya
تلاش Mattayo MT. 12:35
4
Mattayo MT. 12:31
Kwa sababu hii nawaambieni, Killa dhambi na killa neno la kufuru watasamehewa wana Adamu, bali kumtukana Roho hawatasamehewa wana Adamu.
تلاش Mattayo MT. 12:31
5
Mattayo MT. 12:33
Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya na matunda yake mabaya, kwa maana kwa matunda yake mti hujulikana.
تلاش Mattayo MT. 12:33
صفحہ اول
بائبل
مطالعاتی منصوبہ
Videos