1
Luka MT. 15:20
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akaondoka, akaenda kwa baba yake. Alipokuwa angali mbali, baba yake akamwona, akamhurumia, akapiga mbio, akamwangukia shingoni, akambusu sana.
موازنہ
تلاش Luka MT. 15:20
2
Luka MT. 15:24
Kwa kuwa huyu mwanangu alikuwa amekufa, nae amefufuka: alikuwa amepotea, nae ameonekana. Wakaanza kufanya furaha.
تلاش Luka MT. 15:24
3
Luka MT. 15:7
Nawaambieni, Kadhalika itakuwako furaha mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa wenye haki tissa na tissaini, wasiohitaji toba.
تلاش Luka MT. 15:7
4
Luka MT. 15:18
Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu, nitamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu, na mbele yako: sistahili kuitwa mwana wako baada ya hayo
تلاش Luka MT. 15:18
5
Luka MT. 15:21
Yule mwana akamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; sistahili baada ya hayo kuitwa mwana wako.
تلاش Luka MT. 15:21
6
Luka MT. 15:4
Mtu gani wenu aliye na kondoo mia, akipotewa na mmoja, asiyewaacha wale tissa na tissaini jangwani, na kumwendea yule aliyepotea, hatta atakapomwona?
تلاش Luka MT. 15:4
صفحہ اول
بائبل
مطالعاتی منصوبہ
Videos