1
Luka MT. 10:19
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Tazameni, nawapeni mamlaka va kuwakanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hapana kitu kitakachowadhuru ninyi kamwe.
موازنہ
تلاش Luka MT. 10:19
2
Luka MT. 10:41-42
Bwana akamjibu akamwambia, Martha, Martha, unajisumbua na kujifadhaisha kwa ajili ya mambo mengi: lakini kuna haja ya kitu kimoja tu, na Mariamu ameichagua sehemu iliyo njema, ambayo hataondolewa.
تلاش Luka MT. 10:41-42
3
Luka MT. 10:27
Nae akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; na jirani yako kama nafsi yako.
تلاش Luka MT. 10:27
4
Luka MT. 10:2
Akawaambia, Mavuno ni mengi, illakini watenda kazi wachache; mwombeni, bassi, Bwana wa mavuno, apate kupeleka watenda kazi mavunoni mwake.
تلاش Luka MT. 10:2
5
Luka MT. 10:36-37
Waonaje bassi? Katika hawa watatu yupi aliyekuwa jirani yake mwenye kuangukia katika mikono ya wanyangʼanyi? Akasema, Ni yule aliyemfanyia huruma. Yesu akamwambia, Enenda zako, nawe ukafanye kama hayo.
تلاش Luka MT. 10:36-37
6
Luka MT. 10:3
Enendeni: angalieni, nakutumeni ninyi kama wana kondoo kati ya mbwa wa mwitu.
تلاش Luka MT. 10:3
صفحہ اول
بائبل
مطالعاتی منصوبہ
Videos