1
Yohana MT. 1:12
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Bali wote waliompokea aliwapa mamlaka ya kufanyika watoto wa Mungu, ndio waliaminio jina lake
Karşılaştır
Yohana MT. 1:12 keşfedin
2
Yohana MT. 1:1
MWANZO alikuwako Neno, nae Neno alikuwako kwa Mungu, nae Neno alikuwa Mungu.
Yohana MT. 1:1 keşfedin
3
Yohana MT. 1:5
nayo nuru yangʼaa gizani, wala giza halikuiweza.
Yohana MT. 1:5 keşfedin
4
Yohana MT. 1:14
Nae Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu, tukautazama utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee akitoka kwa Baba, amejaa neema na kweli.
Yohana MT. 1:14 keşfedin
5
Yohana MT. 1:3-4
Vyote vyalifanyika kwa huyu. Wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao uzima ulikuwa nuru ya watu
Yohana MT. 1:3-4 keşfedin
6
Yohana MT. 1:29
Siku ya pili yake Yohana amwona Yesu anakuja kwake, akanena, Tazama, Mwana Kondoo wa Mungu, aichukuae dhambi ya ulimwengu!
Yohana MT. 1:29 keşfedin
7
Yohana MT. 1:10-11
Alikuwako ulimwenguni, ulimwengu umepata kuwa kwa veye, wala ulimwengu haukumtambua. Alikuja kwake, nao walio wake hawakumpokea.
Yohana MT. 1:10-11 keşfedin
8
Yohana MT. 1:9
Kulikuwako nuru halisi, imtiayo nuru killa mtu ajae katika ulimwengu.
Yohana MT. 1:9 keşfedin
9
Yohana MT. 1:17
Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa, neema na kweli zilikuwa kwa mkono wa Yesu Kristo.
Yohana MT. 1:17 keşfedin
Ana Sayfa
Kutsal Kitap
Okuma Planları
Videolar