1
Luka 23:34
Neno: Maandiko Matakatifu
Isa akasema, “Baba, wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo!” Wakagawana nguo zake kwa kupiga kura.
ஒப்பீடு
Luka 23:34 ஆராயுங்கள்
2
Luka 23:43
Isa akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.”
Luka 23:43 ஆராயுங்கள்
3
Luka 23:42
Kisha akasema, “Isa, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.”
Luka 23:42 ஆராயுங்கள்
4
Luka 23:46
Isa akapaza sauti yake akasema, “Baba, mikononi mwako naikabidhi roho yangu.” Baada ya kusema haya, akakata roho.
Luka 23:46 ஆராயுங்கள்
5
Luka 23:33
Walipofika mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, hapo ndipo walipomsulubisha Isa pamoja na hao wahalifu, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wake wa kushoto.
Luka 23:33 ஆராயுங்கள்
6
Luka 23:44-45
Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa, kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.
Luka 23:44-45 ஆராயுங்கள்
7
Luka 23:47
Yule jemadari alipoona yaliyotukia, akamsifu Mungu, akasema, “Hakika, mtu huyu alikuwa mwenye haki.”
Luka 23:47 ஆராயுங்கள்
முகப்பு
வேதாகமம்
வாசிப்புத் திட்டங்கள்
காணொளிகள்