Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Muhtasari: Mambo ya Walawi

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Mambo ya Walawi, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Mambo ya Walawi, Mungu mtakatifu wa Israeli anawaalika Waisraeli kuishi katika uwepo wake licha ya dhambi zao, kupitia msururu wa ibada na taasisi takatifu. https://bibleproject.com/Swahili/