Siku 40 ya kifungoMfano
Kuhusu Mpango huu
Muda wa kifungo inakuaka muda wa kufikiria kwa yale ambayo Kristo alitenda juu yetu msalabani. Zawadi hii ya kifahari tunaweza ifikiria miaka baada ya miaka, na itatuacha muda wote na mshangao na furaha. Kupita mpango huu, utapiti ndani ya injili muda baada ya muda, tuki tazama hatua za Yesu kwa wiki yake ya mwisho ya huduma duniani. Mpango huu ni siku 47 ya urefu, ila siku ya Jumapili saba ni siku za pumuziko kulingana na hasili.
More
Tulipenda kushukuru Journey Church kwa kutupatia mpango wa siku 40 ya kifungo. Kwa maelezo zaidi kuhusu Journey Church, atafadhali nenda kwa: http://www.lifeisajourney.org