MatesoMfano
Kuteseka ni muhimu katiak maisha ya Mkristu 2 Timothy 3:12. Njia ya kukabiliana na mateso huboreka kwa kupatana na Mungu kwa kutafakari neno Lake Vifungu vifuatavyo, ukivikariri, vitakuhamasisha iliupate njia ya kukabiliana na mateso yanayoandamana na Mungu Wacha maisha yako ibadilike kwa kukariri Bibilia Ukitaka kujua jinsi ya kukariri Bibilia, fuata www.MemLok.com
Kuhusu Mpango huu
Mateso ni muhimu katika imani ya mkristu 2 Timothy 3:12 Njia ya kukabiliana na mateso kwa njia ya Kikristu huboreka kwa kutafakari neno la Mungu Mistari yafuatayo ukiyakukariri, yatakusaidia kukabiliana na mateso kataika maisha yako. Wacha maisha yako ibadilike kwa kukariri neno la Mungu. Kwa maagizo ya kukariri Bibilia, fuata http://www.MemLok.com
More
Tungependa kumshukuru MemLok, (Kumbukumbu la Biblia), kwa kutoa muundo wa mpango huu. Kwa habari zaidi kuhusu MemLok, tembelea: http://www.MemLok.com