UhakikaMfano
Take your time on the Scriptures today. What assures you of your salvation? Consider highlighting them so they will stand out when you come to these chapters again.
Kuhusu Mpango huu
Mungu anataka UJUE umeokolewa na utaenda mbinguni! Uhakika wako unakua kupitia kukutana na Mungu na kutafakari neno lake. Mistari inayofuata, unapoikariri, inaweza kukusaidia kuwa na uhakika katika Mungu siku zako zote. Maisha yako yabadilishwe kwa kukariri maandiko! Kwa mfumo kamili wa kukariri maandiko, tembelea MemLok.com
More
Tungependa kumshukuru MemLok, (mfumo wa kukumbuka Biblia), kwa kutoa muundo wa mpango huu. Kwa habari zaidi kuhusu MemLok, tembelea: http://www.MemLok.com/