Safari ya Agano Jipya kwa Siku 60Mfano
Kuhusu Mpango huu
Mpango huu wa kusoma Biblia utawaongoza kupitia Agano Jipya katika siku 60. Vitabu vingi vitawajulisha, lakini Biblia ina uwezo wa kukugeuza. Soma tu uchaguzi wa kila siku na utastaajabishwa na uwezo, ufahamu na mabadiliko ambayo yatatokea katika maisha yako.
More
We would like to thank Adventure Church for providing this plan. For more information, please visit: http://60day.adventurechurch.org