Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022

SIKU 3 YA 31

“Bahari” ilikuwa ni birika kubwa lililojazwa maji kwa ajili ya usafi wa pale hekaluni. Inatufundisha kuzingatia usafi. Mifano ya maboga ilikuwa ni urembo chini ya birika, kisha ng'ombe 12 waliwakilisha makabila 12 ya Waisraeli. Chochote tunachokifanya kanisani au nyumbani mwetu tuzingatie makundi muhimu yote. K.mf. maeneo ya kunawa mikono au vyooni, je tunajenga tukizingatia kuwa tuna walemavu, watoto na wazee? Ni vizuri kila kinachofanyika, kiwe kinazingatia aina mbalimbali za watu.

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Agosti pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha 1 Wafalme na Zakaria. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/