Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Badilika: Hatua zinazofuata kwa maisha yaliyobadilikaMfano

Changed: Next Steps for a Changed Life

SIKU 5 YA 42

Kama mfuasi wa Kristo, ni muhimu kusimama na Yeye hadharani ukisherehekea maisha yako mapya, ndio maana ubatizo ni hatua kubwa ya kwanza kwa mfuasi mpya wa Kristo. Katika siku tatu zijazo, utachunguza ni nini Biblia inasema kuhusu umuhimu wa ubatizo.

Andiko

siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

Changed: Next Steps for a Changed Life

uamuzi wako wa kumkubali Kristo kama mkombozi wako, umebadilishwa milele. Ya kale yameisha. Wewe ni kiumbe kipya. Haijalishi kuwa wewe ni mfuasi mpya wa Kristo au umekuwa ukimfuata kwa muda mrefu, Mpango huu utakusaidia kupata ufahamu bora wa wewe ni nani ndani ya Kristo na nini maana ya kuwa mfuasi wa Kristo. Kupata hisia bora ya utambulisho wako ndani ya Kristo itakusaidia kusongo mbele katika hatua zako za kutimiza yale yote Mungu amekuita kufanya.Kubadilika.

More

We would like to thank Life.Church for creating this plan. For more information, please visit: www.life.church