Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

60 kuanzaMfano

60 To Start

SIKU 34 YA 60

Tusamehe madeni yetu, kama tunavyo wasamehe wadeni wetu." Bwana, naomba damu yako inisafishe na kunisamehe. Nanakuomba unichunguze na ufichue dhambi ama njia yeyote nimekuudhi. (Sita na umuulize Mungu afunue dhambi ya kusudi na isiyo ya kusudi) Yesu, natubu dhambi yangu kwako.

Bwana, nachagua kumsamehe yoyote aliye nifanyia mabaya.

Nachagua kutokariri makosa ama kulipiza kisasi dhidi aliyenikosea.

Yesu, asante kwa rehema zako Kwa neema yako nitatembea kwa upendo.
siku 33siku 35

Kuhusu Mpango huu

60 To Start

Mpango wa siku sitini ulioundwa kukusaidia kuanza ( au kuanza upya) mpango wako na Yesu Utafanya mambo matatu kila siku: Kutana na Yesu katika injili, soma katika nyaraka vile wafuasi wake waliuishi ujumbe wake, na kua karibu Naye kupitia maombi

More

Tuli penda ku shukuru Trinity New Life Church kwa kutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, atafadhali nenda kwa: www.trinitynewlife.com