Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

60 kuanzaMfano

60 To Start

SIKU 27 YA 60

"Tupe leo mkate wetu wa kila siku"

Bwana, mimi ni mwaminifu na zaka na sadaka zangu( kama sivyo, tubu!)

Bwana, napanda mbegu ya fedha kwa ufalme wako na naamini kuvuna.

Naomba kwamba nitabarikiwa ili niwe baraka kwa wengine.

Namkemea mlaji katika maisha yangu, fedha na familia.
Nisaidie kuwa na bidii na bora kama nifanyavyo kazi kwako Bwana wangu.

Naomba neema yako kwa maisha yangu.
siku 26siku 28

Kuhusu Mpango huu

60 To Start

Mpango wa siku sitini ulioundwa kukusaidia kuanza ( au kuanza upya) mpango wako na Yesu Utafanya mambo matatu kila siku: Kutana na Yesu katika injili, soma katika nyaraka vile wafuasi wake waliuishi ujumbe wake, na kua karibu Naye kupitia maombi

More

Tuli penda ku shukuru Trinity New Life Church kwa kutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, atafadhali nenda kwa: www.trinitynewlife.com