Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

60 kuanzaMfano

60 to Start

SIKU 19 YA 60

"Baba yetu uliye mbinguni, takatifu ni jina lako" Bwana, naomba sifa hizi za jina yako leo. Wewe ni: Mwokozi wangu: Asante kwa msalaba wako na sadaka yako!Bwana na Mfalme wangu: Nakuheshimu na napende kukutiiRafiki yangu: umenifanya mrithi wako Mimi ni mwana wa Mungu!

Haki yangu: Nimesimama kwa usahihi na Mungu kwa sababu ya damu yako!

Mpa wangu: Wewe ni mtoaji na mtosheleaji wangu!

Mponyaji wa roho yangu, nafsi na mwili, mawazo na hisia zangu zitatumikia sababu zako leo!

Mchungaji wangu, Mshauri na Amani!

Ushindi wangu: Wewe ndiwe hunilinda!
siku 18siku 20

Kuhusu Mpango huu

60 to Start

Mpango wa siku sitini ulioundwa kukusaidia kuanza ( au kuanza upya) mpango wako na Yesu Utafanya mambo matatu kila siku: Kutana na Yesu katika injili, soma katika nyaraka vile wafuasi wake waliuishi ujumbe wake, na kua karibu Naye kupitia maombi

More

Tuli penda ku shukuru Trinity New Life Church kwa kutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, atafadhali nenda kwa: www.trinitynewlife.com