Kukumbuka yale yote Mungu ametenda.Mfano
Kitendo cha ushirika ni kitendo cha kumbukumbu. Katika mstari wa 19, Yesu anasema, "Huu ni mwili wangu uliotolewa kwa ajili yenu, fanyeni haya kwa ukumbusho wangu." Tunaposhiriki meza ya bwana, tunakumbu sadaka ya mwisho Kristo alifanya kwa kutufia msalabani kwa ajili ya ndambi zetu. Chukua mda leo kukumbuka sadaka ya Kristo. Ni kwa sababu ya kifu chake na kufufuka kwake tuna maisha mapya, kwa hivyo kamwe usisahau Yesu alijitoa kama sadaka kuu kwa ajili yetu. Maisha yako ya baadaye yamebadilika milele. Kama huna shauku, shiriki meza ya bwana leo. Unaposhirika meza ya bwana, fanya kama Yesu alivyo amuru na mkumbuke unaposhiriki.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni tabia yetu ya asili kutazamia siku zijazo lakini tusisahau kamwe siku zilizopita. Mpango huu umechapishwa kwa ajili yako katika siku 5 zijazo kukukumbusha yote ambayo Mungu amekutendea katika kukutengeneza kuwa ulivyo leo Kila siku utapata somo la biblia na ibada fupi iliyoundwa kukusaidia kukumbuka matukio muhimu katika kutembea kwako na Kristo.
More
We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church