Hujaachwa: Kupata uhuru kama watoto wa Baba halisi
5 Siku
Louie Giglio, Mchungaji na Mwanzilishi wa Passion Movement, anashiriki nasi mpango huu wa siku 5 kuelewa sifa za Mungu katika kubadili maisha - kama baba kamili anayetaka utembee katika uhuru kama mtoto wake.
Tunapenda kuwashukuru Lifeway Christian Resources kwa kutupa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: https://notforsakenbook.com/
Kuhusu Mchapishaji