Zekaria 4:7
Zekaria 4:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nani wewe, Ee mlima mkubwa? Mbele ya Zerubabeli utakuwa nchi tambarare; naye atalileta lile jiwe la kuwekwa juu kabisa pamoja na vigelegele vya, Neema, neema, ilikalie.
Shirikisha
Soma Zekaria 4Zekaria 4:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena, akaongeza kusema: “Je, mlima huu ni kizuizi? La! Wewe Zerubabeli utausawazisha. Wewe utaanzisha ujenzi mpya wa hekalu, na wakati utakapoliweka jiwe la mwisho, watu watashangilia wakisema, ‘Ni zuri! Naam, ni zuri!’”
Shirikisha
Soma Zekaria 4