Tito 2:12
Tito 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Neema hiyo yatufunza kuachana na uovu wote na tamaa za kidunia; tuwe na kiasi, tuishi maisha adili na ya kumcha Mungu katika ulimwengu huu wa sasa
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa
Shirikisha
Soma Tito 2