Wimbo Ulio Bora 8:6
Wimbo Ulio Bora 8:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nipige kama mhuri moyoni mwako, naam, kama mhuri mikononi mwako. Maana pendo lina nguvu kama kifo, wivu nao ni mkatili kama kaburi. Mlipuko wake ni kama mlipuko wa moto, huwaka kama mwali wa moto.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 8Wimbo Ulio Bora 8:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitie kama mhuri moyoni mwako, Kama mhuri juu ya mkono wako; Kwa maana upendo una nguvu kama mauti, Na wivu ni mkali kama ahera. Mwako wake ni mwako wa moto, Na miali yake ni miali ya Yahu.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 8