Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wimbo ulio Bora 8:6

Wimbo ulio Bora 8:6 SRUV

Nitie kama mhuri moyoni mwako, Kama mhuri juu ya mkono wako; Kwa maana upendo una nguvu kama mauti, Na wivu ni mkali kama ahera. Mwako wake ni mwako wa moto, Na miali yake ni miali ya Yahu.