Wimbo Ulio Bora 4:9
Wimbo Ulio Bora 4:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Umefurahisha moyo wangu, dada yangu, bi arusi, umefurahisha moyo wangu, kwa kunitupia jicho mara moja tu, na kwa huo mkufu wako shingoni.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 4Wimbo Ulio Bora 4:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umenishangaza moyo, dada yangu, Bibi arusi, umenishangaza moyo, Kwa mtupo mmoja wa macho yako, Kwa mkufu mmoja wa shingo yako.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 4