Waroma 6:6-7
Waroma 6:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja na Kristo, ili hali ya dhambi iharibiwe, tusiwe tena watumwa wa dhambi. Kwa maana, mtu aliyekufa, amenasuliwa kutoka dhambini.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulubishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena; kwa kuwa yeye aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi.
Shirikisha
Soma Waroma 6