Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 6:6-7

Rum 6:6-7 SUV

mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulibishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena; kwa kuwa yeye aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi.

Video ya Rum 6:6-7