Waroma 3:1-2
Waroma 3:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Myahudi ana nini zaidi kuliko watu wengine? Au kutahiriwa kuna faida gani? Naam, iko faida kwa kila upande. Kwanza, Mungu aliwakabidhi Wayahudi ujumbe wake.
Shirikisha
Soma Waroma 3Waroma 3:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Myahudi ana nini zaidi? Na kutahiriwa kwafaa nini? Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 3