Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 3:1-2

Warumi 3:1-2 SRUV

Basi Myahudi ana nini zaidi? Na kutahiriwa kwafaa nini? Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.

Soma Warumi 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 3:1-2