Waroma 2:3
Waroma 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe rafiki unayewahukumu wale wanaofanya mambo kama hayo hali wewe pia unayafanya, je unadhani utaiepa hukumu ya Mungu?
Shirikisha
Soma Waroma 2Waroma 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe binadamu, uwahukumuye wale wafanyao hayo na kutenda yayo hayo mwenyewe, je! Wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu?
Shirikisha
Soma Waroma 2