Ufunuo 3:8
Ufunuo 3:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Nayajua mambo yako yote! Sasa, nimefungua mbele yako mlango ambao hakuna mtu awezaye kuufunga; najua kwamba ingawa huna nguvu sana, hata hivyo, umelitii neno langu wala hukulikana jina langu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3Ufunuo 3:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nayajua matendo yako. Tazama, nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako, ambao hapana awezaye kuufunga, kwa kuwa unazo nguvu kidogo, nawe umelitunza neno langu, wala hukulikana jina langu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3