Ufunuo 3:17
Ufunuo 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe unajisema, ‘Mimi ni tajiri; ninajitosheleza, sina haja ya kitu chochote;’ kumbe, hujui kwamba wewe ni mnyonge, unahitaji kuhurumiwa, maskini, kipofu tena uko uchi!
Shirikisha
Soma Ufunuo 3Ufunuo 3:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa wasema, Mimi ni tajiri, nimejitajirisha, wala sina haja ya kitu; nawe hujui ya kuwa wewe u mnyonge, na mwenye mashaka, na maskini, na kipofu, na uchi.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3