Ufunuo 3:10
Ufunuo 3:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa kuwa wewe umezingatia neno langu la kuwa na uvumilivu thabiti, mimi nitakutegemeza salama wakati ule wa dhiki inayoujia ulimwengu mzima, kuwajaribu wote wanaoishi duniani.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3Ufunuo 3:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa umelishika neno la subira yangu, mimi nami nitakulinda, utoke katika saa ya kuharibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu wote, kuwajaribu wakaao juu ya nchi.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3