Ufunuo 2:9
Ufunuo 2:9 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Naijua dhiki yako na umaskini wako, lakini wewe ni tajiri! Nayajua masingizio ya wale wasemao kuwa ni Wayahudi lakini sio, bali wao ni sinagogi la Shetani.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2Ufunuo 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Najua taabu zako; najua pia umaskini wako, ingawaje kwa kweli wewe ni tajiri; najua kashfa walizokufanyia wale wanaojiita Wayahudi lakini si Wayahudi wa kweli, bali ni kundi lake Shetani.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2Ufunuo 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2