Zaburi 96:2-3
Zaburi 96:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu na kulisifu jina lake. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu. Yatangazieni mataifa utukufu wake, waambieni watu wote matendo yake ya ajabu.
Shirikisha
Soma Zaburi 96Zaburi 96:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwimbieni BWANA, lisifuni jina lake, Tangazeni wokovu wake kila siku. Wahubirieni mataifa habari za utukufu wake, Na watu wote habari za maajabu yake.
Shirikisha
Soma Zaburi 96