Zaburi 93:1
Zaburi 93:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu anatawala; amejivika fahari kuu! Mwenyezi-Mungu amevaa fahari na nguvu! Ameuimarisha ulimwengu, nao hautatikisika kamwe.
Shirikisha
Soma Zaburi 93Zaburi 93:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ametamalaki, amejivika adhama, BWANA amejivika, ukuu na nguvu, kama mavazi ya kifalme. Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike
Shirikisha
Soma Zaburi 93