Zaburi 90:11-12
Zaburi 90:11-12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ni nani ajuaye nguvu za hasira yako? Kwa maana ghadhabu yako ni kubwa kama hofu tunayopaswa kuwa nayo kwako. Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri, ili tujipatie moyo wa hekima.
Shirikisha
Soma Zaburi 90Zaburi 90:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani anayetambua uzito wa hasira yako? Nani anayejali matokeo ya ghadhabu yako? Utufundishe ufupi wa maisha yetu ili tuweze kuwa na hekima.
Shirikisha
Soma Zaburi 90Zaburi 90:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani aujuaye uweza wa hasira yako? Na ghadhabu yako inayolingana na kicho chako? Basi, utufundishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima.
Shirikisha
Soma Zaburi 90