Zaburi 8:5-6
Zaburi 8:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Umemfanya awe karibu kama Mungu, umemvika fahari na heshima. Ulimpa madaraka juu ya kazi zako zote; uliviweka viumbe vyote chini ya mamlaka yake
Shirikisha
Soma Zaburi 8Zaburi 8:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umemfanya mdogo kuliko Mungu; Umemvika taji la utukufu na heshima; Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
Shirikisha
Soma Zaburi 8