Zaburi 70:4
Zaburi 70:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wote wale wanaokutafuta, wafurahi na kushangilia kwa sababu yako. Wapendao wokovu wako, waseme daima: “Mungu ni mkuu!”
Shirikisha
Soma Zaburi 70Zaburi 70:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Washangilie, wakufurahie, Wote wakutafutao. Waupendao wokovu wako Waseme daima, Atukuzwe Mungu.
Shirikisha
Soma Zaburi 70