Zaburi 67:7
Zaburi 67:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu aendelee kutubariki. Watu wote duniani na wamche.
Shirikisha
Soma Zaburi 67Zaburi 67:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu atatubariki sisi; Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
Shirikisha
Soma Zaburi 67