Zaburi 63:7-8
Zaburi 63:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
maana wewe umenisaidia daima. Kivulini mwa mabawa yako nitashangilia. Roho yangu inaambatana nawe kabisa, mkono wako wa kulia wanitegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 63Zaburi 63:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana Wewe umekuwa msaada wangu, Na uvulini mwa mbawa zako nitashangilia. Nafsi yangu inaambatana nawe sana; Mkono wako wa kulia unanitegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 63