Zaburi 63:3-4
Zaburi 63:3-4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa sababu upendo wako ni bora kuliko uhai, midomo yangu itakuadhimisha. Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 63Zaburi 63:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Fadhili zako ni bora kuliko maisha, nami nitakusifu kwa mdomo wangu. Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba.
Shirikisha
Soma Zaburi 63Zaburi 63:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana fadhili zako ni njema kuliko uhai; Midomo yangu itakusifu. Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 63